Watoto watatu ambao waliongea wakiwa Wachanga
وَيُكَلِّمُ النَّاسَ فِي الْمَهْدِ وَكَهْلًا وَمِنَ الصَّالِحِينَ
Na Atawasemesha watu katika utoto wake na utu uzima wake na ni miongoni mwa Swalihina. Suraat Aal-‘Imraan Aya ya 46
Mafunzo:
Abuu Hurayrah (رضي الله عنه) amehadithia kwamba Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم) amesema: “Hawakuongea watoto wachanga isipokuwa watatu; ‘Iysaa na (kisa cha Jurayj katika Baniy Israaiyl, na kisha cha farisi mzuri ambaye mama wa mtoto aliyeongea utotoni alitamani mwanawe awe kama yeye, lakini mtoto akatamka kukataa…” [Al-Bukhaariy (3436)].
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni