Kumfanya Sutrah mwanaume aliyekaa au anayeswali
Swali
Inafaa kwa mtu kumfanya Sutrah mwanaume mwenzake ambaye kakaa chini au amesimama anaswali?
Jibu
Mbele ya mtu kukiwa mtu ambaye ameketi chini au amesimama anaswali basi anakuwa ni Sutrah yake.
Fataawaa Mutanawwi´ah (11)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni