Je, Inajuzu Kwa Mu’takif Katika Masjid Al-Haraam (Makkah) Afanye Twawaaf Kuzunguka Al-Ka’bah?
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
Ikiwa yuko Masjid Al-Haraam afanye Twawaaf, kwa sababu I’tikaaf haimaanishi kwamba mtu agande sehemu moja asibadilishe sehemu, bali maana ya I’tikaaf ni kujiambatanisha na Masjid.
[Majmuw’ Al-Fataawaa (20/180)]
http://bit.ly/2YHHQpJ i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni