Kufaradhishwa Zakaah
Zakaah imefaradhishwa wakati Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alipokuwa Makkahkatika siku za mwanzo za Uislam, lakini hapakuwekwa Nisaab, (kiwango cha mali ambacho mtu akiwa nacho kwa muda wa mwaka analazimika kuitolea Zakaah), wala kiasi cha kulipa, isipokuwa waliachiwa Waislam wenyewe kukisia kiasi cha kutoa.
Katika mwaka wa Pili baada ya Hijrah, ilifaradhishwa kiasi chake katika kila aina ya mali na kubainishwa vizuri.
http://bit.ly/2Q9X8Ap i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni