Translate

Jumamosi, 25 Mei 2019

Njia mbili za kuswali Witr

Swali


Inajuzu kuswali Witr kwa Tashahhud moja ambapo mtu haketi isipokuwa katika ile Rak´ah ya tatu?



Jibu


Kuna aina mbili za kuswali kwa yule anayetaka kuswali Witr:

Ya kwanza: Akaswali Rak´ah mbili kwanza. Kisha akaswali Witr kwa Rak´ah moja.
Ya pili: Akaswali Rak´ah tatu kwa mpigo na asipambanue kati yake kwa kuketi wala kutoa Tasliym. 

Kwa sababu yote hayo yamepokelewa kutoka kwa Salaf. Nadhani pia kuwa kuna Hadiyth iliyorufaishwa kutoka kwa Mtume Muhammad(Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) juu ya kuswali tatu [kwa pamoja]Abu Daawuud (1422).


Rejea Kitab Majmuu´-ul-Fataawaa (14/116-117)


http://bit.ly/2YObU2Y i live islam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...