Sifa Na Akhlaaq Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)
20-Unyenyekevu Wake: Aliitikia Mwaliko Na Kupokea Zawadi Hata Kama Ni Duni
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ: ((لَوْ دُعِيتُ إِلَى ذِرَاعٍ أَوْ كُرَاعٍ لأَجَبْتُ، وَلَوْ أُهْدِيَ إِلَىَّ ذِرَاعٌ أَوْ كُرَاعٌ لَقَبِلْتُ))
Imepokelewa kutoka kwa Abuu Hurayrah (Radhwiya Allaahu 'anhu) kwamba Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Kama nitaalikwa mwaliko wa makongoro ya kondoo nitaitikia na nitapokea zawadi hata kama ni mkono au makongoro ya kondoo)) [Al-Bukhaariy]
http://bit.ly/2W51UFG
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni