Translate

Jumamosi, 18 Mei 2019

Niyah ya Kutoa Zakaah

Niyah ya Kutoa Zakaah


Zakaah ni ‘Ibaadah, na kwa ajili hiyo kutia Niyyah ni jambo muhimu kama ilivyo katika ‘Ibaadah yoyote ile. 

Na Niyah ni kitu cha moyoni na hakina uhusiano na ulimi, na kusudi lake ni kuwa mtu anapotoa Zakaah akusudie kuitoa kwa ajili ya Allaah.


Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:
"Hakika ya amali yoyote ni kutokana na Niyyah, na mtu hulipwa kutokana na Niyyah yake".

 



http://bit.ly/2YxAVPC i live islam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...