Translate

Jumamosi, 18 Mei 2019

Vyumba Vya Matumizi Vya Masjid Vinafaa Kutumika Kwa I'tikaaf?

Chumba Cha Mlinzi Na Chumba Cha Wasimamizi Wa Zakaah Katika Masjid; Je, Vinafaa Kutumika Kwa Ajili Ya I’tikaaf?

a. Vyumba vilivyomo ndani ya Msikiti pamoja na milango yake yote hukmu zake ni za Msikiti.

b. Lakini ikiwa ni nje ya Msikiti, basi si katika Msikiti ijapokuwa ikiwa milango yake imo ndani ya Msikiti.


[Al-Lajnah Ad-Daaimah (10/412)]



http://bit.ly/2wc4Dxj i live islam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...