Translate

Jumamosi, 18 Mei 2019

Ametumia Vidonge Vya Kuzuia Mimba Je Alipe Masiku Ya Hedhi Japokuwa Hakuona Damu?

SWALI

Mke wangu ametumia vidonge vya kuzuia mimba, na katika Ramadhwaan ya mwaka huu, ameendeleza kula dawa mpaka mwisho wa mwezi akisema kusudio lake akamilishe Swiyaam ili asifungulie.  Je anapaswa kulipa masiku ya hedhi japokuwa hakuona damu isipokuwa siku ya nne katika masiku ya ‘Iyd, basi je, inamlazimu afunge masiku hayo ambayo hakuwa akila?


JIBU

Ikiwa hali na kama ilivyotajwa kwamba haikumtremkia mkewe damu ya hedhi katika mchana wa Ramadhwaan kwa sababu ya kutumia vidonge vya kuzuia mimba basi haiwajibiki kwake kulipa masiku hayo.

Wa bi-LLaahi At-Tawfiyq wa Swalla Allaahu ‘alaa Nabiyyinaa Muhammad wa ‘alaa Aalihi wa Swahbihi wa sallam


[Fataawaa Al-Lajnah Ad-Daaimah(16264)]


http://bit.ly/2YD8XBV i live islam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...