Swali
Je, kuonja chakula kunaharibu swawm?
Jibu
Naam Ikiwa Mtu akionja chakula swawm yake haiharibiki midhali hakumeza. Lakini mtu asifanye hivo isipokuwa kama kuna haja ya kufanya hivo.
Katika hali hii kukiingia kitu tumboni mwako pasi na kukusudia swawm yako haiharibiki.
Rejea Kitab Majmuu´-ul-Fataawaa (01/356-357)
http://bit.ly/2JARxTj i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni