Swali
Ni ipi hukumu ya kujitoa manii mchana wa Ramadhaan? Ni lipi linalomlazimu endapo alifamya hivo siku nyingi za Ramadhaan na hajalipa mpaka hivi sasa?
Jibu
Ikiwa anajitoa manii, kitendo hichi ni haramu katika Ramadhaan na miezi mingine. Ikiwa alimwaga, kitendo hichi kinaiharibu swawm yake.
Kwa kuwa amejitoa matamanio yake kwa kufanya punyeto.
Punyeto inaharibu swamw yake.
Na pia Mtu Anapata dhambi.
Ni lazima kwake kukimbilia kuleta tawbah.
Ni lazima kwake kulipa.
Ni wajibu vilevile kulisha kwa kila siku moja masikini kama tulivyotangulia kusema.
Na Allaah anajua zaidi
http://bit.ly/2W47esV i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni