Translate

Jumamosi, 18 Mei 2019

Mwanamke Atekeleze Wapi I’tikaaf Akipenda Kufanya Hivyo?

Mwanamke Atekeleze Wapi I’tikaaf Akipenda Kufanya Hivyo?

Mwanamke akitaka kutekeleza I’tikaaf, basi iwe katika Msikiti ambao hauna tahadharisho la ki-shariy’ah lakini ikiwa kuna tahadharisho la ki-shariy’ah basi asifanye I’tikaaf humo. 


[Majmuw’ Al-Faataawaa (20/163)]


http://bit.ly/2Qc4Vxo i live islam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...