Je, Inajuzu Kwa Mu’takif Abadilishe Sehemu Kuhamahama Ndani Ya Msikiti?
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:
Inajuzu kwa Mu’takif kbadilisha sehemu katika Msikiti katika pande zozote zile.
[Majmuw’ Al-Fataawaa (20/177)]
http://bit.ly/2HpY3de i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni