SWALI
Mwenye kunuia kwenda kufanya I´tikaaf mfano kwenye Msikiti wa Riyaadh; je, huchukuliwa hili ni katika kufunga safari mbali na Misikiti mitatu?
JIBU
Sahihi, asifunge safari ila (ya kwenda) kwenye Misikiti mitatu. Afanye I´tikaaf kwenye Msikiti ulioko karibu naye.
Na Allaah Anajua zaidi.
http://bit.ly/2HojP10 i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni