Je, Inajuzu Kwa Mu’takif Amtembelee Mgonjwa? Au Inamuajibikia Kufanya Da’wah?
Sunnah ni kwamba asitembelee mgonjwa wakati akiwa katika I’tikaaf, wala haiwajibiki da’wah wala kuwakidhia haja ahli zake wala kuhudhuruia janaazah, wala asitoke nje ya Msikiti kwa ajili ya kwenda kazini kwake.
[Al-Lajnah Ad-Daaimah (10/410)]
http://bit.ly/2HpLUVt i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni