Nini Hukmu Ya Mu’takif Kutoka Kwa Ajili Ya Kwenda Kutekeleza ‘Umrah?
Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:
- Ikiwa I’tikaaf yake ameiwekea nadhiri kwa wakati maalumu basi inamlazimika kuikamilisha, kwa sababu kutimiza nadhiri ni katika utiifu na jambo la kulazimika.
- Na ikiwa ni ya kujitolea tu basi akitaka ataikamilisha na akitaka ataikata aende ‘Umrah.
[Majmuw’ Al-Fataawaa (15/446)]
http://bit.ly/2YtUjNw i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni