SWALI
Nikiswali msikitini na Imaam anaswali Rakaa ishirini, je, nimalize naye au niswali Rakaa nane pamoja naye kisha niswali Witr peke yangu na kuondoka?
JIBU
Nakunanasihi uswali Rakaa nane na uswali Witr peke yako kwani kufuata Sunnah ni bora zaidi, na Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Swalini kama mnavyoniona mimi nikiswali)).
[Fadhwaaih Wa Naswaaih. – Daarul-Haramayn, Miswr Uk 86]
http://bit.ly/2VJXDHj i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni