Translate

Alhamisi, 16 Mei 2019

Ameweka nadhiri ya kufunga akipatikana nduguye aliyepoea

Swali: Kuna mwanamke aliweka nadhiri ya kufunga kwa ajili ya Allaah masiku kadhaa akionekana mmoja katika ndugu zake ambaye alipotea katika moja ya vita. Lakini kumeshapita miaka kumi na nne mpaka hivi sasa na hajaonekana. Dhana yenye nguvu ni kwamba alikufa. Je, ni lazima kutimiza nadhiri yake?

Jibu: Akipatikana basi afunge. Lakini midhali hajaonekana haimlazimu kufunga. Akionekana itamlazimu kutimiza nadhiri yake.



http://bit.ly/2w2XKym

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...