Translate

Jumatano, 15 Mei 2019

Ni ipi hukumu mfungaji kumeza mate?

Swali


Ni ipi hukumu mfungaji kumeza mate?


Jibu


Hakuna neno kumeza mate. Sijui kama kuna tofauti yoyote juu ya hilo wanachuoni kutokana na ule uzito na ugumu wa kujiepusha na hilo.
Kuhusu makohozi ni lazima kwa mtu kuyatema pale yanapofika kinywani. Haijuzu kwa mfungaji kuyameza kwa sababu kuna uwezekano wa kuyaepuka tofauti na mate.


Rejea Majmuu´-ul-Fataawaa (15/313)


http://bit.ly/2w2LNZq i live islam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...