Translate

Ijumaa, 3 Mei 2019

CHANGIA FUTARI KWA AJILI YA WAFUNGWA NA MAYATIMA

Assallaam Aleykum WarahmatulLaah Wabarakatuh

Ndugu zangu katika Imaani, Katika Group zetu za WhatssApp huwa tunafanya Khayrat mbalimbali za Dini kama vile Kusambaza Juzuu na Misahafu, Kujenga Madrasa na Misikiti, Kusomesha na Kusaidia Mayatima pamoja na KUFUTURISHA katika Mwezi wa Ramadhaan.

Kwa sasa tupo katika Harakati za Kukusanya Sadaqah kwa Ajili ya Futari.

```Tunaweza tukiamua wala hatushimdwi kwa hili linalohitajika ni ushirikiano na wote kuwa  na lengo moja```

Na NAMBA ZETU ZA KUPOKEA SADAQA NI

+255742410980 ADAM KHALID (voda)

+255714574722 -ADAM ISSA (tigo)

بارَكَ اللهُ لَكَ في أَهْلِكَ وَمالِكَ.

 “Allah akubariki katika familia yako na mali yako”

Toa Sadaqa yako kwa ajili ya Akhera yako Toa chochote kiwe kidogo au kikubwa utakikuta kwa Allah. Tanguliza Mali yako wekeza Mali yako kwa Tajiri wamatajiri ni Allah.

Na Allaah atakulipa



http://bit.ly/2WoniS2 i live islam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...