Translate

Ijumaa, 3 Mei 2019

Maandalizi Ya Ramadhwaan Kwa Faida Mbali mbali

بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ
Ramadhwaan 1440H Mwezi Umeonekana

اللهُ أَكْـبَر، اللّهُمَّ أَهِلَّـهُ عَلَيْـنا بِالأمْـنِ وَالإيمـان، والسَّلامَـةِ والإسْلامِ، وَالتَّـوْفيـقِ لِما تُحِـبُّ وَتَـرْضَـى، رَبُّنـا وَرَبُّكَ اللهُ.
Allaah ni Mkubwa zaidi, Ee Allaah, Uanzishe kwetu kwa amani na iymaan, na usalama na Uislamu, na tawfiyq ya kile Unachokipenda na kukiridhia, Rabb  wetu na Rabb wako ni Allaah. [Swahiyh At-Tirmidhiy (3/157)]

Kwa Munaasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhwaan, Uislamu wangu Blog imewakusanyia faida mbalimbali za Ramadhwaan na yanayohusiana na hukmu za Swiyaam kwa ujumla.




















Sambaza na wengine wapate faida hizi kwaajili Ya allaah


from Muislamu Blog http://bit.ly/2WoR49h
via IFTTT

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...