SWALI
Je, inajuzu kwa mwanaume kuswali Swalah ya Taraawiyh na familia yake nyumbani?
JIBU
Hakuna ubaya kufanya hivyo, ni bora kama alivyofanya.
[Shaykh Muqbil Bin Haadiy Al-Waadi’y: Fadhwaaih wa Naswaaih, Daarul-Haramayn, Miswr. uk 86]
http://bit.ly/2JMgiLy i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni