Swali: Je, kumpenda mke myahudi au mnaswara kunapingana na imani?
Jibu: Haya ni mapenzi ya kimaumbile na sio mapenzi ya ki-´ibaadah. Haya ni mapenzi ya kimaumbile, kama ambavo unavopenda mali, wazazi wako na watoto. Haya ni mapenzi ya kimaumbile na ambayo mtu hachukuliwi kwayo.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2Ois5jm
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni