Translate

Alhamisi, 29 Novemba 2018

New video by GROUP FAIDIKA NA MAWAIDHA on YouTube

Ilitokea kwamba kunamtu alitaka kumuoa fulani katika uhai wa wazee wake wawili lakin wazee wake wawi
Ilitokea kwamba kunamtu alitaka kumuoa fulani katika uhai wa wazee wake wawili lakin wazee wake wawili wakapinga hawakutaka na yeye akakubali kuwattii,lakin wale wazee baadae walifariki baada ya kufariki mwanamke akakubali kuolewa na huyo mume kwaivyo ndugu zake wamemhasimu wanasema kua ameasi amri za wazee wake je sheria inasema VIP❓


View on YouTube

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...