Swali: Je, imamu akimtaja Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) inafaa kumswalia katikati ya Khutbah na kadhalika akimtaja Allaah tuseme “Subhaan Allaah”?
Jibu: Ndio, ikiwa utafanya hivo baina yako wewe na nafsi yako pasi n kunyanyua sauti ni sawa. Kwa sababu hii ni Dhikr. Hakuzingatiwi ni katika maneno ya watu. Hata ndani ya swalah hakupingani na swalah.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2Q3RZwT
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni