Translate

Alhamisi, 29 Novemba 2018

065-Du'aa Za Nabiy (Swalla-Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallaam): Kuomba Kinga Ya Kushindwa Kulipa Deni Na Adui Na Bezo La Maadui

 

Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

 

Kuomba Kinga Ya Kushindwa Kulipa Deni Na Adui Na Bezo La Maadui

 

 Alhidaaya.com

 

 

 

 

 

  اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنْ غَلَبَةِ الدَّيْنِ وَغَلَبَةِ الْعَدُوِّ وَشَمَاتَةِ الأَعْدَاءِ

Allaahumma inniy a’uwdhu bika min ghalabatid-dayni, wa ghalabatil-‘aduwwi wa shamaatatil-a’-daai

 

Ee Allaah hakika mimi najikinga Kwako kushindwa kulipa deni, na kushindwa na adui, na bezo la maadui

 

 [An-Nasaaiy, Ahmad -  Swahiyh An-Nasaaiy (3/1113)]

 

 

 

 



from Alhidaaya.com https://ift.tt/2E5iN9t
via IFTTT

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...