Mume ana wake wawili . kukatokea safari hali yakua mume alikua zamu kwa mke mkubwa . mume akalazimis
Mume ana wake wawili . kukatokea safari hali yakua mume alikua zamu kwa mke mkubwa . mume akalazimisha kua ile safari wende wake wote wawili pamoja.mke mkubwa akakataa akataka aende peke yake kama inavokua zamu ya mke mdogo anakwenda pekeyake. Na pia wakienda safari na mke mdogo huyu mdogo hua anamfanyia vituko vakumumiza mke mkubwa ndo sababu ya mke mkubwa kukataa kwenda pamoja nae. lakini mume ile safari akenda na mke mdogo na sio mkubwa mwenye zamu yake .je hio ni Haqi*❓
View on YouTube
Translate
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah
إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! 20 - Isti’aadhah (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah ...
-
إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! 20 - Isti’aadhah (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah ...
-
Fadhila Za Nabiy ( صلى الله عليه وآله وسلم ) 58-Masiyh Dajjaal Haingii Katika Mji Wake Wa Madiynah Alhidaaya.com Pi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni