Translate

Alhamisi, 29 Novemba 2018

Je, anaritadi anayeita katika umoja wa dini?

Swali: Je, anaritadi anayeita katika umoja wa dini?

Jibu: Ndio, pasi na shaka. Akilingania katika umoja wa dini ilihali anajua kuwa dini ya unaswara ni batili, dini ya uyahudi ni batili na akataka kuisawazisha na Uislamu, huku ni kuritadi. Ama akiwa ni mjinga na hajui na anawasikia watu wanasema kitu hichi  na akafikiria kuwa ni kitu kizuri cha umoja, huyu hapana shaka kwamba amekosea na ni mpotevu. Anatakiwa kubainishiwa kosa na upotevu wake. Akiendelea kung´ang´ania basi anatakiwa kukufurishwa. Kwa sababu amesawazisha kati ya ukafiri na imani.



from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2E3HdQO
via IFTTT

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...