Translate

Ijumaa, 30 Novemba 2018

Tangazo

TANGAZO  LA  MICHANGO YA  JUZUU NA MISAFAHU  PAMOJA  NA UJENZI  WA MADRASA






Assallaam  Aleykum  WarahmatulLaah  Wabarakatuh



Naam,Ndugu zangu katika Imaani bado tunaendelea na Zoezi la Ukusanyaji wa Juzuu na Misahafu kwa ajili ya Kusambaza Vijijini katika Madrasa ambazo hazina uwezo

Na kwasasaa bado Misahafu 80  na Juzuu 768


Msahafu mmoja kwa bei ya Jumla wanauza 4000/= na Juzuu moja kwa bei ya Jumla wanauza 350/= na Zingine 400/=


--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------



Pia kwasasa Tunataraji kujenga madrasa wilaya ya chemba vijijini katika mkoa wa dodoma.


Vijana na akina mama wanasoma chini ya mti na mvua zimeanza. Ustadh alitaka kufunga madrasa lakini tumeweka niyah ya kujenga madrasa kubwa yenye kuchukuwa watoto 45 Vyoo viwiili vyenye Thamani ya tshs. 5,000,00/= kiwanja tunacho mpaka sasa tuna tshs 1,500,000/=

Huenda ukaona usumbufu laki ndugu yangu hii ni kwa ajili ya akhera yako kwani tunavyomiliki ni vya Warithi wetu. 

Tunaomba Mchango wako wa Hali na Mali pia Tunapokea pesa Na Vifaa vya Ujenzi kama vile  Mabati, Nondo, Mbao, Mchanga, cement na Nakadhalika . 

Unaweza Kutuma mchango wako kwa namba zifuatazo

Tigo Pesa +255714974397

Airtel Money +255685779911

Vodacom +255756403470

(Majina ni ARABI MANDOTA)


Ndugu zangu Tambueni Hii ni sadaka ya kuendelea (Sadaqatul Jaaliyah)  ndugu mwema.


*Ukiwa na Juzuu na Misahafu na Upo Dar es Sallaam piga Simu katika namba hizo hapo juu ili niweze kuja kupokea Swadaqah yako.


WabilLaah Tawfiq



from fisabilillaah.com https://ift.tt/2AElgE1
via IFTTT

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...