Translate

Alhamisi, 1 Novemba 2018

12-Hadiyth Al-Qudsiy: Toa (Mali Katika Njia ya Allaah) Ee Mwana Aadam Nami Nitakupa

Hadiyth Ya 12
Toa (Mali Katika Njia ya Allaah) Ee Mwana Aadam Nami Nitakupa


عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ ((قَالَ اللَّهُ أَنْفِقْ يَا ابْنَ آدَمَ أُنْفِقْ عَلَيْكَ)) البخاري ومسلم
Kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhwiya Allaahu ‘anhu) ambaye amesema:  Rasuli wa Allaah Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam amesema:  ((Allaah Amesema:  Toa (mali katika njia ya Allaah) ee mwana Aadam, Nami Nitakupa)) [Al-Bukhaariy Na Muslim]


from Muislamu https://ift.tt/2qlZpfF
via IFTTT

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...