Swali: Je, inajuzu kusoma Adhkaar kwa utaratibu na utungo baada ya swalah?
Jibu: Qur-aan ndio inayosomwa kwa utaratibu na utungo. Allaah (Jalla wa ´Alaa) amesema:
وَرَتِّلِ الْقُرْآنَ تَرْتِيلًا
“Soma Qur-aan kwa kisomo cha utaratibu na utungo.”[1]
Kuhusu du´aa na Adhkaar hazisomwi kwa utaratibu na utungo.
[1] 73:04
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2KyB2Vk
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni