Swali: Je, kuna asli yoyote ya kurusha udongo mara tatu upande wa kichwa cha maiti?
Jibu: Ndio, kitendo hichi kina asli. Imepokelewa namna udongo ulivyorushwa mara tatu upande wa kichwa cha Mtume (Swalla Allaahu´alayhi wa sallam)[1].
[1] Ibn Maajah (1565) na ad-Daaraqutwniy (2/76).from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2IBMJfE
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni