Swali: Je, swalah inasihi kwa mtu ambaye anawaita watu wafanye Tabarruk naye?
Jibu: Mtu ambaye anawaita watu wafanye Tabarruk naye hakuswaliwi nyuma yake. Kwa sababu ni mwenye kuchupa mipaka juu ya nafsi yake. Ni kwa nini watu wafanye Tabarruk naye? Kunafanywa Tabarruk kwa Allaah (´Azza wa Jall).
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2UFGBoc
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni