Swali: Je, wudhuu´ ni sharti juu ya kusihi kwa Twawaaf?
Jibu: Ndio. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Kutukufu Nyumba ni swalah japokuwa nyinyi mnazungumza ndani yake.”[1]
Kusema kwamba Twawaaf ni swalah ina maana kwamba kumeshurutishwa twahara.
[1] Ibn Hibbaan (3836).
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2GQpnkJ
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni