Swali: Inafaa kwa mtu akichelea kumsibu ndugu yake na kijicho kumwambia:
اللهم بارك
“Ee Allaah! Bariki!”
au:
ما شاء الله تبارك الله
“Aliyotaka Allaah. Allaah amebarikika.”
Jibu: Hapana, ikiwa anachelea peke yake. Akimsikia anaongea neno la matatizo ndio afanye hivo. Vinginevyo asimuombe kitu ikiwa ni kuchelea peke yake.
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2L5EyKM
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni