Swali: Mtu ambaye ametakharuji katika chuo kikuu cha Kishari´ah anaitwa kuwa ni “mwanachuoni” na ana haki ya kutafiti katika dalili na kufanya Ijtihaad?
Jibu: Kama ana elimu na uwezo, hakuna neno. Ama kusema kwamba ametakharuji peke yake haitoshi. Huenda ametakharuji na hajui chochote.
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2ZupXeU
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni