Swali: Michezo ya watoto ilio kwa sura ya wanyama iliotengenezwa kwa mbao au plastiki inazingatiwa kuwa inafaa nikiiweka nyumbani?
Jibu: Usiwaleee watoto wako juu ya mapicha. Usiwaleee juu ya mapicha wakazizowea.
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2UuLOzM
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni