Swali: Ni ipi hukumu ya mtu kukusudia kwenda kumuomba Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) kwenye makaburi ya waja wema?
Jibu: Haijuzu kufanya hivi. Haijuzu kuomba du´aa wala kuswali kwenye makaburi. Haifai kufanya hivo. Kwa sababu kufanya hivi kunapelekea kuyaabudu makaburi.
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2Rz6g0h
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni