Translate

Alhamisi, 28 Februari 2019

076-Du'aa Za Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم): Kutaraji Rahmah Ya Allaah Kuomba Utengenezewe Mambo Yako Yote

 

Du’aa Za Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)

 

Kutaraji Rahmah Ya Allaah Kuomba Utengenezewe Mambo Yako Yote

 

 Alhidaaya.com

 

 

 

 اللّهُـمَّ رَحْمَتَـكَ أَرْجـو فَلا تَكِلـني إِلى نَفْـسي طَـرْفَةَ عَـيْن، وَأَصْلِـحْ لي شَأْنـي كُلَّـه لَا إِلَهَ إِلَّا أنْـت

 

Allaahumma Rahmatika arjuw falaa takilniy ilaa nafsiy twarfata ‘aynin, wa aswlih liy sha-aniy kullahu, laa ilaaha illaa Anta

 

Ee Allaah, nataraji rahmah Zako, usinitegemeze  kwenye nafsi yangu japo kwa muda wa upepesa jicho, na Unitengenezee mambo yangu yote, hapana Muabudiwa wa haki ila Wewe

 

[Hadiyth ya Abu Bakr Nafiy’ bin Haarith Ath-Thaqafiyy (Radhwiya Allaahu 'anhu) - Abu Daawuwd (4/324) [5090], Ahmad (5/42),  ameipa daraja ya Hasan Al-Albaaniy  katika Swahiyh Abi Daawuwd (3/959) ]

 

 

 



from Alhidaaya.com https://ift.tt/2En5Tl9
via IFTTT

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...