Swali: Je, kuna tofauti kati ya vitenguzi vya Uislamu na vitenguzi vya imani?
Jibu: Hapana, hakuna tofauti. Vitenguzi vya Uislamu ndio vitenguzi vya imani. Lakini mtu anaweza kuwa muislamu kwa ulimi wake tu na wakati huohuo akawa mnafiki. Amesema (Ta´ala):
وَلَقَدْ قَالُوا كَلِمَةَ الْكُفْرِ وَكَفَرُوا بَعْدَ إِسْلَامِهِمْ
”Wamekwishasema neno la kufuru na wakakufuru baada ya Uislamu wao.” (at-Tawbah 09:74)
Amesema kuhusu waumini:
لَا تَعْتَذِرُوا قَدْ كَفَرْتُم بَعْدَ إِيمَانِكُمْ
“Hivyo msitoe udhuru, kwani mmekwishakufuru baada ya kuamini kwenu.” (at-Tawbah 09 : 65-66)
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2U46G10
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni