Swali: Mwenye kusitasita kumkufurisha kafiri kutokana na ujinga wake anazingatiwa ni kafiri?
Jibu: Haijuzu kwa muislamu kusitasita juu ya kuwakufurisha makafiri. Hili ni jambo liko wazi. Kuwakufurisha makafiri ni miongoni mwa mambo yako wazi. Si katika mambo yaliyofichikana. Haijuzu kuwa na mashaka katika hili. Haijalishi kitu hata kama si msomi. Kwa sababu haya ni miongoni mwa mambo yaliyo wazi.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2E5O2Pw
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni