Swali: Kuna mtu anampenda mwanachuoni wake kiasi cha kwamba anayatanguliza maneno yake mbele ya maneno ya Allaah na Mtume Wake.
Jibu: Haya ni maasi. Ni kufuru ya neema. Akionelea kuwa kitendo hichi ni halali na akamtanguliza Shaykh wake mbele ya Allaah na Mtume Wake ni kufuru kubwa. Hapa ni pale ambapo atahalalisha kitendo hichi.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2Nklkyt
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni