Swali: Je, mayahudi na manaswara wanakufurishwa kwa ujumla au kila mmoja kwa dhati zao?
Jibu: Wanakufurishwa kwa jumla na kila mmoja kwa dhati yake. Kila myahudi na mnaswara ni kafiri. Lakini usichanganye kati ya kumhukumu ukafiri na kumhukumu kwamba ataingia Motoni baada ya kufa kwake. Mafikio yake huku Aakhirah hili ni jambo analolijua Allaah pekee. Wewe huwezi kujua.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2Tj2nSs
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni