[23] Ni wajibu kuwakata Ahl-ul-Bid´ah na wapotevu. Kama mfano wa Mushabbihah, Mujassimah, Ash´ariyyah, Mu´tazilah, Raafidhwah, Murji-ah, Qadariyyah, Jahmiyyah, Khawaarij, Saalimiyyah, Karraamiyyah na mapote mengine yaliyobaki yenye kusemwa vibaya.
[24] Hii ndio ´Aqiydah yangu na yale ninayomwabudu kwayo Mola wangu na ndio ambayo baba yangu amekufa juu yake – Allaah amrehemu.
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2BYCEEN
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni