Swali: Inajuzu kumwacha kafiri akagusa Qur-aan iliyotarjumiwa kwa lugha ya kingereza?
Jibu: Sio Qur-aan anayogusa bali anachogusa ni tafsiri ya maana ya Qur-aan. Hakuna neno. Lakini Qur-aan asiiguse:
إِنَّهُ لَقُرْآنٌ كَرِيمٌ فِي كِتَابٍ مَّكْنُونٍ لَّا يَمَسُّهُ إِلَّا الْمُطَهَّرُونَ
“Hakika hii ni Qur-aan tukufu. Katika Kitabu kilichohifadhiwa. Haigusi isipokuwa waliotakaswa kabisa.”[1]
[1] 56:77-79
from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2BM5NTM
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni