Translate

Jumatatu, 25 Februari 2019

09. Allaah aliumba Pepo na Moto kabla ya kuumba viumbe

[16] Kuamini kwamba Allaah aliumba Pepo na Moto kabla ya kuumba viumbe. Neema za Peponi zitaendelea kuwepo milele na kamwe wanawake wa Peponi hawakutokufa.

Adhabu ya Motoni ni yenye kudumu na watu wake ambao walitengana na dunia hii hali ya kuwa si wenye kumwabudu Allaah pekee na si wenye kufuata Sunnah, watadumishwa humo.

[17] Kuhusiana na wapwekeshaji watenda madhambi, watatolewa humo ndani kwa uombezi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Uombezi wangu ni kwa ajili ya watenda madhambi makubwa kutoka katika Ummah wangu.”[1]

Watoto wa washirikina watakuwa Motoni.

[1] Ahmad (3/213), Abu Daawuud (4739) na at-Tirmidhiy (2345).



from Firqatu Nnajia https://ift.tt/2NsccYJ
via IFTTT

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...