Swali: Nikiwa niko pamoja na mtoto wangu wa kiume mdogo na nilikuwa nataka kwenda kuyatembelea makaburi. Je, inafaa kwangu kuingia naye makaburini?
Jibu: Hakuna ubaya. Ikiwa unachelea juu yake na ukaenda naye ili umlinde hakuna neno.
from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2S6aMc2
via IFTTT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni