Translate

Jumamosi, 16 Februari 2019

Hukmu ya Thayyib

HUKMU YA THAYYIB

Assallaam Aleykum WarahmatulLaah Wabarakatuh

BismiLLaah wa AlhamduliLLaah was-Swalaatu was Salaamu ‘alaa Muhammad wa ‘alaa ‘Aalihi wa Aswhaabihil Kiraam, wa Ba’ad,

Naam Ama maana ya Neno Thayyib ni Mzinifu aliyekwishaoa au kuolewa.

Kwahiyo Thayyib ni yule ambaye ameoa kwa kufunga ndoa ilio sahihi. Huyu ndiye anayeitwa "Thayyib".

Ikishakuwa hivo, mtu hawezi kuwa "Thayyib" kwa sababu tu ya uzinzi, ndoa batili, ndoa ya Mut´ah na mfano wa hizo. Kishari´ah hazingatiwi kuwa ni Thayyib isipokuwa akifunga ndoa ambayo ni sahihi iliotimiza masharti yake.

Mtu Thayyib akizini damu yake inakuwa halali.(Rejea Hukmu ya Uzinifu)

Marejeo :Kitab cha Sharh al-Arba´iyn an-Nawawiyyah, ukurasa wa 228

Na Allaah anajua zaidi



http://bit.ly/2IgN0FJ i live islam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...