Swali
Ni vitabu vipi ambavyo unamnasihi mwanamke wa Kiislamu kuwa nayo?
Jibu
Naam Ama kwa Mwanamke Vitabu tunavyomnasihi kuwa navyo ni kama; “Riyaadh-us-Swaalihiyn”, “Fath al-Majiyd” ambacho ni Sharh Kitaab-ut-Tawhiyd, “al-Lu-ul wal-Marjaan” na “Buluugh-ul-Maraam”.
Hivi ni kwa mwanamke ambaye anaweza kusoma na kuandika.
Ni vitabu ambavyo ni mukhtaswari.
Hali kadhalika kitabu cha ndugu yetu Muhammad “al-Qawl al-Mufiyd”.
Ama kwa mwanamke mwenye uwezo wa kufanya utafiti na uhak-ikisho, inatakikana kwake kuwa na Maktabah kubwa kadiri na atakavyoweza.
Na Allaah anajua zaidi
http://bit.ly/2XaCxyT i live islam
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni