Translate

Ijumaa, 15 Februari 2019

Sio matendo ya waislamu

Swali: Kuna maswali mengi yanayouliza kuhusu hukumu ya kufanya maandamano na migomo na kulingania mambo hayo katika miji ya waislamu.

Jibu: Maandamano na migomo sio katika matendo ya waislamu na wala hayatambuliki katika historia ya waislamu. Haya ni katika mambo ya makafiri. Isitoshe ni vurugu ambazo haziridhiwi na Uislamu. Uislamu ni dini ya nidhamu na utulivu. Sio dini ya fujo na vurugu. Hivyo maandamano wala mgomo haifai.



from Firqatu Nnajia http://bit.ly/2GsWUSQ
via IFTTT

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

20-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Isti’aadhah Kwa Asiyekuwa Allaah

  إِنَّ الشِّرْكَ لَظُلْمٌ عَظِيم   Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno!   20 - Isti’aadhah  (Kuomba Kinga) Kwa Asiyekuwa Allaah   ...